ZARI AAMUA KUISHI NA WATOTO WAKE KWENYE NYUMBA YA MAREHEMU IVAN

ZARI AAMUA KUISHI NA WATOTO WAKE KWENYE NYUMBA YA MAREHEMU IVAN - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ZARI AAMUA KUISHI NA WATOTO WAKE KWENYE NYUMBA YA MAREHEMU IVAN, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ZARI AAMUA KUISHI NA WATOTO WAKE KWENYE NYUMBA YA MAREHEMU IVAN
kiungo : ZARI AAMUA KUISHI NA WATOTO WAKE KWENYE NYUMBA YA MAREHEMU IVAN

soma pia


ZARI AAMUA KUISHI NA WATOTO WAKE KWENYE NYUMBA YA MAREHEMU IVAN


Zari, Diamond na IVAN Don
KAMATI ya watu wanne walioteuliwa kushughulikia namna ambavyo mali za marehemu Ivan Ssemwanga zitasimamiwa, imempa mpenzi wa mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Zari Hassan, moja ya nyumba za marehemu huyo iliyopo nchini Afrika Kusini ili aishi na watoto wake.
Kwa mjibu wa mtandao wa Kenya moja, kamati hiyo iliwajumuisha Ritah Ssemwanga (dada wa Ivan), George Ssemwanga Pinto (kaka wa Ivan), Lawrence Kiyingi Muyanja maarufu King Lawrence (rafiki mkubwa wa Ivan) ambaye pia ni kiongozi wa kundi la matajiri wanaojiita (Rich Gang) na Zari Hassan (mke wa Ivan). Kwa pamoja kamati hiyo imekubaliana kwamba licha ya kumpa Zari nyumba hiyo, pia imempa madaraka ya kusimamia chuo cha Ivan cha Brooklyn, kilichopo Afrika Kusini.
Pia Zari ameamliwa kuishi na watoto wake katika moja ya nyumba za Ivan zilizopo Afrika Kusini na nyingine itapangishwa ili kusaidia familia hiyo kiuchumi, huku kamati hiyo ikiendelea na usimamizi wa jumla hadi watoto hao watakapofikia umri wa kujitambua wa miaka 18.
Kutokana na hilo, Zari ameondoka Uganda na kuelekea Afrika Kusini, ingawa bado haijajulikana kama ataishi katika moja ya nyumba za Ivan huko Pretoria, Afrika Kusini au ataishi na watoto wake kwenye nyumba ya mpenzi wake, Diamond Platnumz, aliyonunua jijini Johannesburg.


Hivyo makala ZARI AAMUA KUISHI NA WATOTO WAKE KWENYE NYUMBA YA MAREHEMU IVAN

yaani makala yote ZARI AAMUA KUISHI NA WATOTO WAKE KWENYE NYUMBA YA MAREHEMU IVAN Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ZARI AAMUA KUISHI NA WATOTO WAKE KWENYE NYUMBA YA MAREHEMU IVAN mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/zari-aamua-kuishi-na-watoto-wake-kwenye.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ZARI AAMUA KUISHI NA WATOTO WAKE KWENYE NYUMBA YA MAREHEMU IVAN"

Post a Comment