WAZIRI SIMBACHAWENE AAGIZA WAHITIMU CHUO CHA SERIKALI ZA MITAA HOMBOLO WAPEWE KIPAUMBELE

WAZIRI SIMBACHAWENE AAGIZA WAHITIMU CHUO CHA SERIKALI ZA MITAA HOMBOLO WAPEWE KIPAUMBELE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI SIMBACHAWENE AAGIZA WAHITIMU CHUO CHA SERIKALI ZA MITAA HOMBOLO WAPEWE KIPAUMBELE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI SIMBACHAWENE AAGIZA WAHITIMU CHUO CHA SERIKALI ZA MITAA HOMBOLO WAPEWE KIPAUMBELE
kiungo : WAZIRI SIMBACHAWENE AAGIZA WAHITIMU CHUO CHA SERIKALI ZA MITAA HOMBOLO WAPEWE KIPAUMBELE

soma pia


WAZIRI SIMBACHAWENE AAGIZA WAHITIMU CHUO CHA SERIKALI ZA MITAA HOMBOLO WAPEWE KIPAUMBELE


SERIKALI imeziagiza Halmashauri,Miji na Majiji nchini kutoa kipaumbele cha ajira kwa wahitimu wa chuo Kiongozi cha Mafunzo ya Serikali za Mitaa(LGTI) ambao mafunzo wanayopata yanalenga kuongeza na kuleta ufanisi katika serikali za mitaa nchini.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), George Simbachawene amesema hivi karibuni kuwa Chuo Kiongozi cha Mafunzo ya Serikali za Mitaa (Hombolo) kipo mahusiusi kwa ajiri ya kutoa mafunzo kwa ajili ya wafanyakazi wanaoajiliwa kwenye serikali za mitaaa nchini.

“Naagiza kunapokuwa na nafasi za kazi kwenye halmashauri, miji na hata majiji ni vyema wahitimu wa chuo hiki wakapewa kipaumbele. Ni vizuri wakapata nafasi ya kushindanishwa na wengine kwani hawa ni walengwa,” alisema Waziri Simbachawene wakati alipokutana na viongozi na wawakilishi wa chuo hicho mjini Dodoma.

Bila kumung’unya maneno, Waziri Simbachawene alisema wahitimu kutoka chuo Kiongozi cha Serikali za Mitaa ndiyo wabobezi kwenye taaluma za serikali za mitaa na hivyo kuwa kwenye nafasi nzuri ya kuleta ufanisi zaidi.

“Ni vizuri tukakumbuka kuwa chuo hiki kilianzishwa na serikali kwa lengo la kuwaandaa wafanyakazi wa kada zote katika serikali za mitaaa,” alisema na kuongeza kuwa serikali itaendelea kukijengea uwezo chuo hicho ili kiweze kutoa wahitimu bora.

Waziri Simbachawene aliuagiza uongozi wa chuo hicho kutosita kutoa taarifa yeyeto endapo chuo kinapokuwa na upungufu wa watumishi.

Kwa upande wake, Kaimu Mkuu wa Chuo hicho, Dkt. Martin Madale alimshukuru Waziri Simbachawene kwa kuwa karibu na chuo na pia kufuatilia maendeleo na ustawi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), George Simbachawene 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Bw. George Simbachawene akisalimiana na Rais wa Serikali ya Wanachuo Chuo Kiongozi cha Mafunzo ya Serikali za Mitaa (Hombolo), Bw. Kelvin Mbuta hivi karibuni mjini Dodoma. Pembeni ni Kaimu Mkuu wa Chuo hicho, Dkt. Martin Madale. 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Bw. George Simbachawene akizungumza na Uongoza na Wawakilishi wa Serikali ya Wanachuo ya Chuo Kiongozi cha Mafunzo ya Serikali za Mitaa (Hombolo)mjini Dodoma hivi karibuni.



Hivyo makala WAZIRI SIMBACHAWENE AAGIZA WAHITIMU CHUO CHA SERIKALI ZA MITAA HOMBOLO WAPEWE KIPAUMBELE

yaani makala yote WAZIRI SIMBACHAWENE AAGIZA WAHITIMU CHUO CHA SERIKALI ZA MITAA HOMBOLO WAPEWE KIPAUMBELE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI SIMBACHAWENE AAGIZA WAHITIMU CHUO CHA SERIKALI ZA MITAA HOMBOLO WAPEWE KIPAUMBELE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/waziri-simbachawene-aagiza-wahitimu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI SIMBACHAWENE AAGIZA WAHITIMU CHUO CHA SERIKALI ZA MITAA HOMBOLO WAPEWE KIPAUMBELE"

Post a Comment