Sheikh Shariff majini atikisa jiji la Tanga

Sheikh Shariff majini atikisa jiji la Tanga - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Sheikh Shariff majini atikisa jiji la Tanga, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Sheikh Shariff majini atikisa jiji la Tanga
kiungo : Sheikh Shariff majini atikisa jiji la Tanga

soma pia


Sheikh Shariff majini atikisa jiji la Tanga

Katika siku yake ya kwanza leo Jumamosi Tarehe 10 Juni 2017 Jijini Tanga, Sheikh Shariff Majini  ametikisa jiji hilo kwa mkutano uliokusanya watu wengi katika ukumbi wa Community centre uliopo kitongojini Makorora.
Mkutano wa mwisho wa Sheikh Shariff utafanyika kesho Jumapili tarehe 11 Juni 2017 katika Ukumbi wa Xommunity Centre uliopo Makorora.
Mara baada ya kumalizika kwa mkutano huo Sheikh Shariff anataraji kurudi Dar es salaam tayari kwa kongamano la kina mama litakalofanyika ukumbi wa Star Light siku ya Jumamosi tarehe 24 Juni 2017.
 Sheikh Shariff Majini akihutubia umati wa kinamama katika  kongamano lake kwenye ukumbi wa Community centre uliopo kitongojini Makorora.
 Sheikh Shariff Majini akiendelea na kongamano lake katika  ukumbi wa Community centre uliopo kitongojini Makorora.
 Sehemu ya umati wa kinamama katika kongamano la Sheikh Shariff Majani kwenye ukumbi wa Community centre uliopo kitongojini Makorora.
Sehemu ya umati wa kinamama katika kongamano la Sheikh Shariff Majani kwenye ukumbi wa Community centre uliopo kitongojini Makorora.


Hivyo makala Sheikh Shariff majini atikisa jiji la Tanga

yaani makala yote Sheikh Shariff majini atikisa jiji la Tanga Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Sheikh Shariff majini atikisa jiji la Tanga mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/sheikh-shariff-majini-atikisa-jiji-la_10.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Sheikh Shariff majini atikisa jiji la Tanga"

Post a Comment