Rais Magufuli Aomboleza Kifo Cha Mzee Ndesamburo, Atuma Salamu Za Rambirambi

Rais Magufuli Aomboleza Kifo Cha Mzee Ndesamburo, Atuma Salamu Za Rambirambi - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais Magufuli Aomboleza Kifo Cha Mzee Ndesamburo, Atuma Salamu Za Rambirambi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais Magufuli Aomboleza Kifo Cha Mzee Ndesamburo, Atuma Salamu Za Rambirambi
kiungo : Rais Magufuli Aomboleza Kifo Cha Mzee Ndesamburo, Atuma Salamu Za Rambirambi

soma pia


Rais Magufuli Aomboleza Kifo Cha Mzee Ndesamburo, Atuma Salamu Za Rambirambi

“Kwa masikitiko nimepokea taarifa za kifo cha Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Moshi Mjini, Mzee wangu Philemon Ndesamburo kilichotokea leo tarehe 31 Mei, 2017 katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC iliyopo Moshi Mkoani Kilimanjaro, Namkumbuka Mzee Ndesamburo kwa hekima zake na uongozi wake uliozingatia siasa za kistaarabu”

Hii ni kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli aliyoitoa katika salamu zake za rambirambi kwa familia ya Marehemu Philemon Ndesamburo, Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) pamoja na ndugu, jamaa na marafiki wote walioguswa na kifo hicho.

Mhe. Rais Magufuli amesema alifanya kazi na Marehemu Philemon Ndesamburo wakati wote wakiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wakati wote walishirikiana, kutaniana na anamkumbuka kwa namna ambavyo alitumia muda wake bungeni kupigania mambo yenye maslai kwa wananchi wa jimbo lake la Moshi Mjini.

Mhe. Dkt. Magufuli ameitaka familia ya Marehemu Philemon Ndesamburo na wote waliguswa na msiba huu kuwa na moyo wa subira, uvumilivu na ustahimilivu na amemuombea Marehemu apumzishwe mahali pema peponi, Amina.

Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam
31 Mei, 2017


Hivyo makala Rais Magufuli Aomboleza Kifo Cha Mzee Ndesamburo, Atuma Salamu Za Rambirambi

yaani makala yote Rais Magufuli Aomboleza Kifo Cha Mzee Ndesamburo, Atuma Salamu Za Rambirambi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais Magufuli Aomboleza Kifo Cha Mzee Ndesamburo, Atuma Salamu Za Rambirambi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/rais-magufuli-aomboleza-kifo-cha-mzee.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Rais Magufuli Aomboleza Kifo Cha Mzee Ndesamburo, Atuma Salamu Za Rambirambi"

Post a Comment