title : Mzee Philemon Ndesamburo(CHADEMA) afariki dunia
kiungo : Mzee Philemon Ndesamburo(CHADEMA) afariki dunia
Mzee Philemon Ndesamburo(CHADEMA) afariki dunia
Mbunge wa zamani wa Moshi Mjini (Chadema) Philemon Ndesamburo amefariki dunia ghafla leo, wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Moshi.
Katibu wa Chadema, Mkoa wa Kilimanjaro, Basil Lema amethibitisha kifo hicho na kueleza kuwa wataendelea kutoa taarifa zaidi juu ya kifo cha mwanasiasa huyo mkongwe.
Taarifa zaidi kuhusu kifo cha Ndesamburo zitaendelea kukujia.
Hivyo makala Mzee Philemon Ndesamburo(CHADEMA) afariki dunia
yaani makala yote Mzee Philemon Ndesamburo(CHADEMA) afariki dunia Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mzee Philemon Ndesamburo(CHADEMA) afariki dunia mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/mzee-philemon-ndesamburochadema-afariki.html
0 Response to "Mzee Philemon Ndesamburo(CHADEMA) afariki dunia"
Post a Comment