title : Mrembo SASHA Akerwa Sauti Yake Kufananishwa na ya Wema Sepetu Atema povu zito
kiungo : Mrembo SASHA Akerwa Sauti Yake Kufananishwa na ya Wema Sepetu Atema povu zito
Mrembo SASHA Akerwa Sauti Yake Kufananishwa na ya Wema Sepetu Atema povu zito
MWANAMITINDO, Sasha Kassim ameibuka na kusema kuwa hapendi sauti yake kufananishwa na ya Wema Sepetu kwani inaanza kumletea matatizo ambayo hakuyatarajia kwa maana ya usumbufu.
Sasha aliongea hayo baada ya kuandamwa na watu akidaiwa kuhusika na utengenezaji wa sauti iliyokuwa ikisambaa mtandaoni kitendo ambacho alikana kukifanya na kudai kuwa hana mazoea wala maisha hayo ya kujianika kwa kutafuta kiki.
GPL
Sasha aliongea hayo baada ya kuandamwa na watu akidaiwa kuhusika na utengenezaji wa sauti iliyokuwa ikisambaa mtandaoni kitendo ambacho alikana kukifanya na kudai kuwa hana mazoea wala maisha hayo ya kujianika kwa kutafuta kiki.
“Dah mimi sijahusika na sauti yoyote na wala sidhani kama sauti yangu inafanana kiasi hicho na Wema kwamba naweza kumuigiza mimi si wa hivyo jamani kitendo cha kuhusishwa na sauti hiyo kimenikera na naomba watu waache mara moja,” alisema Sasha.
GPL
Hivyo makala Mrembo SASHA Akerwa Sauti Yake Kufananishwa na ya Wema Sepetu Atema povu zito
yaani makala yote Mrembo SASHA Akerwa Sauti Yake Kufananishwa na ya Wema Sepetu Atema povu zito Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mrembo SASHA Akerwa Sauti Yake Kufananishwa na ya Wema Sepetu Atema povu zito mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/mrembo-sasha-akerwa-sauti-yake.html
0 Response to "Mrembo SASHA Akerwa Sauti Yake Kufananishwa na ya Wema Sepetu Atema povu zito"
Post a Comment