title : Marekani yaanza kujipanga Kukabiliana na makombora ya Korea Kaskazini
kiungo : Marekani yaanza kujipanga Kukabiliana na makombora ya Korea Kaskazini
Marekani yaanza kujipanga Kukabiliana na makombora ya Korea Kaskazini
Marekani imesema kuwa imefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika jaribio lake la kwanza la mtambo wa kutungua makombora ya nyuklia ya masafa marefu.
Mtambo huo wa ardhini umefungwa katika kambi ya kijeshi iliyopo Califonia kwaajili ya kujihami na vitisho ambavyo vimekuwa vikitolewa na maadui zake ikiwemo Korea Kaskazini.
Aidha, Pentagon imesema kuwa jaribio hilo limefanyika baada ya Korea Kaskazini kufanya majaribio yake ya makombora tisa ya masafa marefu mwaka huu hivyo kutishia usalama wa nchi hiyo.
“Mfumo huu ni mhimu sana kwa ulinzi wa taifa letu na jaribio hili ni uthibitisho mkubwa kwamba tuna uwezo wa hali ya juu wa kujilinda na kutetea usalama wa raia wetu,” amesema Mkurugenzi wa kitengo cha ulinzi wa makombora, Admirali Jim Syring.
Hivyo makala Marekani yaanza kujipanga Kukabiliana na makombora ya Korea Kaskazini
yaani makala yote Marekani yaanza kujipanga Kukabiliana na makombora ya Korea Kaskazini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Marekani yaanza kujipanga Kukabiliana na makombora ya Korea Kaskazini mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/marekani-yaanza-kujipanga-kukabiliana.html
0 Response to "Marekani yaanza kujipanga Kukabiliana na makombora ya Korea Kaskazini"
Post a Comment