Kombaini ya Mjini ya ROLLING STONE Yazidi Kusukwa Upya, Sasa Wapo 30 wa Uhakika Akiwemo Abuu Luiz wa City

Kombaini ya Mjini ya ROLLING STONE Yazidi Kusukwa Upya, Sasa Wapo 30 wa Uhakika Akiwemo Abuu Luiz wa City - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kombaini ya Mjini ya ROLLING STONE Yazidi Kusukwa Upya, Sasa Wapo 30 wa Uhakika Akiwemo Abuu Luiz wa City, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kombaini ya Mjini ya ROLLING STONE Yazidi Kusukwa Upya, Sasa Wapo 30 wa Uhakika Akiwemo Abuu Luiz wa City
kiungo : Kombaini ya Mjini ya ROLLING STONE Yazidi Kusukwa Upya, Sasa Wapo 30 wa Uhakika Akiwemo Abuu Luiz wa City

soma pia


Kombaini ya Mjini ya ROLLING STONE Yazidi Kusukwa Upya, Sasa Wapo 30 wa Uhakika Akiwemo Abuu Luiz wa City

Na: Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.
Mabingwa  watetezi wa Mashindano ya Vijana ya Rolling Stone kombain ya Mjini Unguja ambayo  inaandaliwa na Kocha Mohammed Seif “King” kwenda jijini Arusha kwenye Mashindano ya Vijana ya Rolling Stone ambayo yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi lake kuanzia June 29, 2017 na kumalizika July 9, 2017.

Kwa mujibu wa kocha King uteuzi wa kuchagua wachezaji umefikia tamati na hakuna atakaengezwa tena baada ya kufika jumla ya Wachezaji 30 ambapo watachujwa 6 na kubakia 24 ambao ndio watakaokwenda katika Mashindano hayo.
Wachezaji 30 ni :-
WALINDA MLANGO
Aley Ali Suleiman “Manula” (Miembeni city), Peter Dotto Mashauri (Schalke 04), Makame Mkadar Koyo (Huru) na Ibrahim Abdallah Ali “Parapanda” (Amani Fresh).

WALINZI WA PEMBENI
Muharami Khamis “Terra” (Black Sailors), Abdul hamid Salum “Ramos” (KVZ), Hassan Chalii (Kipanga), Abdul-halim Ameir (King Boys), Ali Hassan (Uhamiaji),

WALINZI WA KATI
Ali Juma Maarifa “Mabata” (Taifa ya Jang’ombe), Shaaban Pandu “Brown” (Villa United), Ismail Mcha (Muembe Beni), na Abubakar Ame “Luiz” (Membeni City).

VIUNGO WA KATI
Assad Juma “Hussein Deco” (Kilimani City), Mussa Shaabani (Zimamoto), Fahmi Salum (Mlandege), Salum Omar “Carrick” (Villa United), Ibrahim Chafu (Villa FC) Yakoub Omar (Jang’ombe Boys), Mohd Ridhaa (Villa United), Yussuf Mohd (Muembe Beni), Talib Khamis (Kipanga) na Suleiman De Jong.

VIUNGO WA PEMBENI
Abrahman Juma “Baby” (KMKM), Mohd Jailan (Chrisc), Mohd Haji (Jang’ombe Boys) na Suleiman Doredo.

WASHAMBULIAJI
Ibrahim Abdallah “Imu Mkoko” (Miembeni City), Mohd Mussa (Mapembeani) na Juma Ali Yussuf “James” (Villa United).
Attachments area


Hivyo makala Kombaini ya Mjini ya ROLLING STONE Yazidi Kusukwa Upya, Sasa Wapo 30 wa Uhakika Akiwemo Abuu Luiz wa City

yaani makala yote Kombaini ya Mjini ya ROLLING STONE Yazidi Kusukwa Upya, Sasa Wapo 30 wa Uhakika Akiwemo Abuu Luiz wa City Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kombaini ya Mjini ya ROLLING STONE Yazidi Kusukwa Upya, Sasa Wapo 30 wa Uhakika Akiwemo Abuu Luiz wa City mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/kombaini-ya-mjini-ya-rolling-stone.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kombaini ya Mjini ya ROLLING STONE Yazidi Kusukwa Upya, Sasa Wapo 30 wa Uhakika Akiwemo Abuu Luiz wa City"

Post a Comment