title : Harmorapa Afunguka Kuhusu Kupanda Ndege
kiungo : Harmorapa Afunguka Kuhusu Kupanda Ndege
Harmorapa Afunguka Kuhusu Kupanda Ndege
Kupitia mtandao wa instagram Harmorapa ameandika, “Maisha ni safari ndefu na mpangaji ni mwenyezi Mungu. Ukweli sikuwahi kuwaza katika maisha yangu kama ipo siku nitatimiza moja ya ndoto yangu ya kupanda ndege.
So ndugu zangu nawasihi ni mwiko kukata tamaa, omba Mungu sana atakutimizia ndoto zako. Shukrani #bossladySabuka kwa kunifikisha hapa nilipo, leo pia naomba Mungu ajalie aendelee kua na moyo huo wa kizungu maana kiukweli ni mzungu wa pekee.
Hivyo makala Harmorapa Afunguka Kuhusu Kupanda Ndege
yaani makala yote Harmorapa Afunguka Kuhusu Kupanda Ndege Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Harmorapa Afunguka Kuhusu Kupanda Ndege mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/harmorapa-afunguka-kuhusu-kupanda-ndege.html
0 Response to "Harmorapa Afunguka Kuhusu Kupanda Ndege"
Post a Comment