title : WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA MKWAWA IRINGA WAYAFURAHIA MAFUNZO YA KUWEKEZA KATIKA HISA
kiungo : WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA MKWAWA IRINGA WAYAFURAHIA MAFUNZO YA KUWEKEZA KATIKA HISA
WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA MKWAWA IRINGA WAYAFURAHIA MAFUNZO YA KUWEKEZA KATIKA HISA
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Jaquiline Materu akizungumza na wanafunzi wa chuo kikuu cha Mkwawa katika semina elekezi ya umuhimu wa uwekezaji na ununuzi wa hisa za Vodacom Tanzania PLC wakiwa bado wanafunzi,Semina hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki chuoni hapo.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Jaquiline Materu akizungumza na wanafunzi wa chuo kikuu cha Mkwawa.
Mkuu wa Kitengo cha Wateja Wakubwa Masuala ya Fedha kutoka kampuni ya Orbit Securities Limited,Godfrey Gabriel, akizungumza na wanafunzi wa chuo kikuu cha Mkwawa juu ya umuhimu wa kuwekeza na ununuzi wa hisa za Vodacom Tanzania katika mafunzo yaliyofanyika chuoni hapo juzi.
Baadhi ya wanachuo wa chuo kikuu kishiriki cha Mkwawa wakisoma vipeperushi vinavuhusu uwekezaji na ununuzi wa hisa za Vodacom Tanzania PLC katika mafunzo yaliyofanyika chuoni hapo mwishoni mwa wiki.
Hivyo makala WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA MKWAWA IRINGA WAYAFURAHIA MAFUNZO YA KUWEKEZA KATIKA HISA
yaani makala yote WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA MKWAWA IRINGA WAYAFURAHIA MAFUNZO YA KUWEKEZA KATIKA HISA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA MKWAWA IRINGA WAYAFURAHIA MAFUNZO YA KUWEKEZA KATIKA HISA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/wanafunzi-wa-chuo-kikuu-cha-mkwawa.html
0 Response to "WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA MKWAWA IRINGA WAYAFURAHIA MAFUNZO YA KUWEKEZA KATIKA HISA"
Post a Comment