UMISSETA COPA COCA-COLA 2017 YAZINDULIWA JIJINI MWANZA

UMISSETA COPA COCA-COLA 2017 YAZINDULIWA JIJINI MWANZA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UMISSETA COPA COCA-COLA 2017 YAZINDULIWA JIJINI MWANZA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UMISSETA COPA COCA-COLA 2017 YAZINDULIWA JIJINI MWANZA
kiungo : UMISSETA COPA COCA-COLA 2017 YAZINDULIWA JIJINI MWANZA

soma pia

UMISSETA COPA COCA-COLA 2017 YAZINDULIWA JIJINI MWANZA

Mkuu wa Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, Dk Leonard Masale akikagua timu ya ya mpira wa miguu ya Nyamagana baada ya kuzindua michuano ya Copa Cocacola kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, Dk Leonard Masale akikabidhi vifaa vya michezo kwa baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Bugogwa baada ya kuzindua michuano ya Copa Cocacola kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.Kushoto ni Mkurugenzi wa Nyanza Bottling, Christopher Gachuma na wa pili kushoto ni Afisa Msaidizi wa Masoko wa kampuni hiyo nchini, Pamela Lugenge.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Hivyo makala UMISSETA COPA COCA-COLA 2017 YAZINDULIWA JIJINI MWANZA

yaani makala yote UMISSETA COPA COCA-COLA 2017 YAZINDULIWA JIJINI MWANZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UMISSETA COPA COCA-COLA 2017 YAZINDULIWA JIJINI MWANZA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/umisseta-copa-coca-cola-2017.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UMISSETA COPA COCA-COLA 2017 YAZINDULIWA JIJINI MWANZA"

Post a Comment