title : SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI
kiungo : SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI
SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI
SIMU.TV: Tanzania leo imeungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha siku ya kutotumia Tumbaku huku serikali ikijipanga kudhibiti matumizi ya Tumbaku; https://youtu.be/e3IN5M8LMZM
SIMU.TV: Wananchi wilayani Musoma wameilalamikia mamlaka ya maji safi wilayani humo kwa kushindwa kukamilisha miradi kadhaa ya maji; https://youtu.be/TKAQy537ZdI
SIMU.TV: Madiwani wanawake jijini Dar Es salaam wamelalamikia tabia ya kutengwa na kutoshirikishwa katika baadhi ya maamuzi kwa kile walichokiita mfumo dume; https://youtu.be/8M6RtCBejg0
SIMU.TV: Mkuu wa wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi Joseph Mkirikiti, ametembelea hospitali ya wilaya hiyo na kubaini mrundikano mkubwa wa wagonjwa; https://youtu.be/enEUEbeX6BA
SIMU.TV: Jumla ya shilingi Bilioni 4.4 zimetengwa kwa ajili ya kuwajengea uwezo wananchi wa mikoa ya Iringa na Dodoma katika sekta ya afya; https://youtu.be/Ag7abnMjfVk
SIMU.TV: Waigizaji wa filamu kutoka nchini China wamesema kuwa watatangaza vivutio vya utalii vilivyopo nchini Tanzania kwa kutumia filamu zao; https://youtu.be/nivQ1hi7b4A
SIMU.TV: Droo ya kwanza ya shilingi milioni 20 imepata mshindi baada ya Huruma Mkongwa kutoka Arusha kuibuka mshindi kwa kujinyakulia shilingi milioni 20; https://youtu.be/VWNnPweNayQ
SIMU.TV: Kampuni ya simu ya Vodacom imezindua huduma mpya inayojulikana kama Ukarimu wa Vodacom katika kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhani; https://youtu.be/0cc_7l2mEmM
SIMU.TV: Mtendaji mkuu wa klabu ya soka ya Azam Fc Saad Kawemba amekanusha taarifa zinazogaa kwenye mitandao kuwa amefukuzwa kazi katika timu hiyo; https://youtu.be/3fbY4GyGBxw
SIMU.TV: Klabu ya soka ya Azam imesema kuwa wachezaji wake wanatarajia kurejea kambini hivi karibuni kwa ajili ya kujiandaa na msimu ujao; https://youtu.be/heIXhC70e6U
SIMU.TV: Mkoa wa Mtwara umeanza maandalizi ya kusaka wachezaji bora ambao watakwenda kuuwakilisha mkoa kwenye mashindano ya Umiseta; https://youtu.be/cY5iruvbH20
SIMU.TV: Mashindano ya Umiseta kwa mkoa wa Dar Es salaam yameendelea hii leo kwa kuzikutanisha shule za wilaya ya Ubungo na Ilala katika dimba la Uhuru; https://youtu.be/vxuhYnQnDhU
Hivyo makala SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI
yaani makala yote SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/simu-tv-habari-kutoka-televisheni_31.html
0 Response to "SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI"
Post a Comment