OLE NASHA AHIMIZA MATUMIZI YA MBEGU BORA KWA WAKULIMA

OLE NASHA AHIMIZA MATUMIZI YA MBEGU BORA KWA WAKULIMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa OLE NASHA AHIMIZA MATUMIZI YA MBEGU BORA KWA WAKULIMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : OLE NASHA AHIMIZA MATUMIZI YA MBEGU BORA KWA WAKULIMA
kiungo : OLE NASHA AHIMIZA MATUMIZI YA MBEGU BORA KWA WAKULIMA

soma pia


OLE NASHA AHIMIZA MATUMIZI YA MBEGU BORA KWA WAKULIMA

Mwambawahabari
Naibu
Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi,William Ole
Nasha(kushoto)akitambulishwa wafanyakazi wa kampuni ya Monsanto Tanzania
baada ya ofisi yao kufunguliwa hapa nchini eneo la Njiro mkoani
Arusha,kushoto kwake ni
Mkurugenzi wa Monsanto Afrika,Dk Shukla Gyanendra.

Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi,William Ole
Nasha(kushoto)akikagua ghala la mbegu bora zenye uwezo wa kumpa mkulima mazao bora.

Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi,William Ole
Nasha akizungumza jambo baada ya kukagua ghala la mbegu bora za kampuni ya Monsanto zenye uwezo wa kumpa mkulima mazao bora

Meneja
Kiongozi wa kampuni ya mbegu ya Monsato Tanzania,Frank Wenga  akieleza
mipango kamambe ya kuwafikishia mbegu bora wakulima kote nchini.

Wageni mbalimbali waliohudhuria uzinduzi wa ofisi ya Monsanto Tanzania.

Meneja Kiongozi wa kampuni ya mbegu ya Monsato
Tanzania,Frank Wenga  akifafanua jambo kwa waandishi wa habari .

Naibu
Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi,William Ole
Nasha akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni ya Monsato
na mawakala wa mbegu nchini waliohudhuria uzinduzi wa kampuni wa ofisi
ya kampuni hiyo jijini Arusha.


Hivyo makala OLE NASHA AHIMIZA MATUMIZI YA MBEGU BORA KWA WAKULIMA

yaani makala yote OLE NASHA AHIMIZA MATUMIZI YA MBEGU BORA KWA WAKULIMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala OLE NASHA AHIMIZA MATUMIZI YA MBEGU BORA KWA WAKULIMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/ole-nasha-ahimiza-matumizi-ya-mbegu_31.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "OLE NASHA AHIMIZA MATUMIZI YA MBEGU BORA KWA WAKULIMA"

Post a Comment