title : WIKI YA MAJI,DC TUNDURU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA TANKI LA MAJI
kiungo : WIKI YA MAJI,DC TUNDURU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA TANKI LA MAJI
WIKI YA MAJI,DC TUNDURU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA TANKI LA MAJI
Mhandisi wa maji wa wilaya ya Tunduru Batholomeo Matwinga kushoto,akitoa taarifa ya ujenzi wa mradi mkubwa wa maji unaotekelezwa na Serikali katika kijiji cha Milonde kata ya Matemanga wilayani humo kwa Mkuu wa wilaya hiyo Juma Homera aliyevaa suti wakati wa kilele cha Maadhimisho ya wiki ya Maji Nchini,
Mkuu wa wilaya ya Tunduru Juma Homera akipanda ngazi kukagua ujenzi wa Tenki la kuhiafdhia maji katika kijiji cha Milonde wialayni humo wakati wa maadhimisho ya wiki ya maji Nchini.
Mkuu wa wilaya ya Tunduru Juma Homera akiweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Tenki la maji katika mradi wa Maji kijiji cha Milonde kata ya Nakapanya wilayani humo,kulia aliyevaa kofia Mwenyeki wa Halmashauri ya wilaya Mbwana Mkwanda Sudi,na kushoto anayemsaidia Mhandisi wa Maji wa Wilaya Batholomeo Matwiga.picha na Muhidin Amri
Hivyo makala WIKI YA MAJI,DC TUNDURU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA TANKI LA MAJI
yaani makala yote WIKI YA MAJI,DC TUNDURU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA TANKI LA MAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WIKI YA MAJI,DC TUNDURU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA TANKI LA MAJI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/wiki-ya-majidc-tunduru-aweka-jiwe-la.html
0 Response to "WIKI YA MAJI,DC TUNDURU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA TANKI LA MAJI"
Post a Comment