title : MAJALIWA AZUNGUMZA NA MABALOZI.
kiungo : MAJALIWA AZUNGUMZA NA MABALOZI.
MAJALIWA AZUNGUMZA NA MABALOZI.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Zambia, Mhe. Hassan Simba Yahya ofisini kwa Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Machi 23, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Italia Nchini, Mhe. Roberto Mengoni, Ofisini kwa Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Machi 23, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania Nchini Zambia, Mhe. Hassan Simba Yahya kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Machi 23, 2019.
Hivyo makala MAJALIWA AZUNGUMZA NA MABALOZI.
yaani makala yote MAJALIWA AZUNGUMZA NA MABALOZI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA AZUNGUMZA NA MABALOZI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/majaliwa-azungumza-na-mabalozi.html
0 Response to "MAJALIWA AZUNGUMZA NA MABALOZI."
Post a Comment