TAA Kutekeleza Mradi wa Bil. 55 Mkoani Mtwara

TAA Kutekeleza Mradi wa Bil. 55 Mkoani Mtwara - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAA Kutekeleza Mradi wa Bil. 55 Mkoani Mtwara, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAA Kutekeleza Mradi wa Bil. 55 Mkoani Mtwara
kiungo : TAA Kutekeleza Mradi wa Bil. 55 Mkoani Mtwara

soma pia


TAA Kutekeleza Mradi wa Bil. 55 Mkoani Mtwara

Na Mwandishi Wetu
Serikali kupitia Mamlaka ya Viwanja vya Ndege inatekeleza mradi mkubwa wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege Mtwara utakaogharimu Shilingi Bilioni 55.

Akizungumza moja kwa moja baada ya kuunganishwa mbashara redioni na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Richard Mayongela aliwahakikishia wananchi wa Mtwara kuwa kazi ya upanuzi mkubwa wa uwanja huo itaanza.

“Kuna mradi wa takribani shilingi Bilioni 55 kupanua Uwanja wa Ndege wa Mtwara na kazi inakwenda kuanza.Pia kuna kazi za ukarabati Uwanja wa Songea na Nachingwea yote ni katika kulifungua eneo la Kusini," alisema. Aidha, Mayongela Alisema kuwa mradi huo una lengo la kuimarisha kuimarisha usafiri wa anga katika maeneo ya kusini mwa Tanzania ili kuiunganisha na mikoa mingine.

Mayongela aliongeza kuwa Mradi huo utatekelezwa na mkandarasi kutoka China na tayari yupo katika eneo la mradi Kwa upande wake Dkt. Abbasi amesema kuwa  Serikali itaendelea kuhakikisha inazijenga na kuziboresha barabara za vijijini kupitia Taasisi ya TARURA iliyopewa jukumu la kusimamia eneo hilo.
Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akifanya mahojiano Maalum na Radio Safari Fm ya mkoani Mtwara kuhusu miaka mitatu ya utekelezaji katika Serikali ya Awamu ya Tano


Hivyo makala TAA Kutekeleza Mradi wa Bil. 55 Mkoani Mtwara

yaani makala yote TAA Kutekeleza Mradi wa Bil. 55 Mkoani Mtwara Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAA Kutekeleza Mradi wa Bil. 55 Mkoani Mtwara mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/taa-kutekeleza-mradi-wa-bil-55-mkoani.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TAA Kutekeleza Mradi wa Bil. 55 Mkoani Mtwara"

Post a Comment