Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli Ahudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya BAKWATA Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli Ahudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya BAKWATA Jijini Dar es Salaam. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli Ahudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya BAKWATA Jijini Dar es Salaam., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli Ahudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya BAKWATA Jijini Dar es Salaam.
kiungo : Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli Ahudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya BAKWATA Jijini Dar es Salaam.

soma pia


Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli Ahudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya BAKWATA Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa maadhimisho ya Miaka 50 ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam leo Novemba 17, 2018. Wengine katika meza kuu ni pamoja na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Jajji Mkuu Profesa Ibrahim Juma,  Mufti wa Tanzania Sheikh Aboubakary bin Zubeiry na viongozi mbalimbali.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi Mufti wa Tanzania Sheikh Aboubakary bin Zubeiry shilingi milioni 30 taslimu wakati wa maadhimisho ya Miaka 50 ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi Hati ya Heshima Mzee Mohamed Songambele, mmoja wa wazee mashuhuri  wakati wa maadhimisho ya Miaka 50 ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakiwa na Jajji Mkuu Profesa Ibrahim Juma,  Mufti wa Tanzania Sheikh Aboubakary bin Zubeiry na viongozi mbalimbali wakishiriki katika dua  wakati wa maadhimisho ya Miaka 50 ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na waumini wa Kiisalamu kinamama akishiriki katika dua  wakati wa maadhimisho ya Miaka 50 ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam leo Novemba 17, 2018. Kulia kwake ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Makakala. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiaga baada ya kuhudhuria maadhimisho ya Miaka 50 ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiaga baada ya kuhudhuria maadhimisho ya Miaka 50 ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiaga baada ya kuhudhuria maadhimisho ya Miaka 50 ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiaga baada ya kuhudhuria maadhimisho ya Miaka 50 ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam leo Novemba 17, 2018. 
Picha na Ikulu.


Hivyo makala Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli Ahudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya BAKWATA Jijini Dar es Salaam.

yaani makala yote Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli Ahudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya BAKWATA Jijini Dar es Salaam. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli Ahudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya BAKWATA Jijini Dar es Salaam. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/rais-wa-jamuhuri-ya-muungano-wa_18.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli Ahudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya BAKWATA Jijini Dar es Salaam."

Post a Comment