Lukuvi:Makazi holela lazima yarasimishwe .

Lukuvi:Makazi holela lazima yarasimishwe . - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Lukuvi:Makazi holela lazima yarasimishwe ., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Lukuvi:Makazi holela lazima yarasimishwe .
kiungo : Lukuvi:Makazi holela lazima yarasimishwe .

soma pia


Lukuvi:Makazi holela lazima yarasimishwe .


Mwamba wa habari
Na. John Luhende
Waziri wa Ardhi nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe William Lukuvi amewataka wananchi wa mkoa wa Dar es salaam kuwa tayari katika zoezi la Urasimishaji wa Makazi ambayo yamejengwa bila mpigilio.

Mhe Lukuvi ameyasema hayo leo wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Ilala katika mkutano wa hadhara wa kusikiliza keroza wananchi waliodhurumiwa Ardhi, nakusema kuwa Serikali imeamua kuweka mkoa wa Dar es salaam katika majaribio ya kutoa hatiza za Ardhi za Elektroniki.


Amewataka wananchi kuwa na vitambulisho vya utaifa (NIDA) kwaajili ya kupatiwa hati za Kielektroniki ambapo tayari zimeanza kutolewa katika wilaya ya za Kinondoni,  na Ubungo baadaye katika Wilaya za Ilala Temeke, na Kigamboni.

Aidha katika kusikiliza kero amewataka wananchi wenye Mashauri Mahakamani na Wale ambapo hukumu tayari zimeshatolewa kuendelea na ngazi za Kukata Rufaa iwapo hawakuridhika na hukumu  badala ya kwenda kwa Waziri ambaye yeye hanamamlaka ya kubadilisha maamuzi ya Mahakama.

Lukuvi leo ameanza ziara mkoa wa Dar es salaam kwaajili ya kusikiliza kero za wananchi ambapo leo yuko wilayani Ilala. 

Aliwataka Wananchi kulipa kodi kwa wakati benki na katika simu ya kiganjani kwa kufuata taratibu kama unavyolipa FEDHA katika huduma zingine hivyo wasikae foleni benki.

Alisema katika Serikali ya Rais John Magufuli amna Mwananchi atakayepoteza haki yake kwa kudhurumiwa Kiwanja aliagiza Wananchi wataje kwa majina tapeli aliyemdhulumu Kiwanja chake hata akiwa mtumishi wa Serikali ili aweze kuchukuliwa hatua.


Alitoa wito kwa Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salam kurathimisha makazi yao kwa kampuni zinazotambulika na Serikali kwa makazi ambayo si rasmi.

"Ifikapo Mwaka 2020 kila mkazi wa Mkoa huu atapata hati yake kwasasa Serikali imeshatoa hati za kisasa kwa Wilaya ya Kinondoni na Ubungo baadae Mpango huo utamia wilaya za Ilala, Temeke na Kigamboni"alisema


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salam Paul Makonda alisema ziara ya Waziri wa Ardhi Wiliam Lukuvi katika Mkoa huo kutaka Wananchi wake waliodhurumiwa viwanja vyao waweze kupata ufumbuzi .

Pia Makonda alisema Viongozi wa Serikali ya Mtaa wasiwe sehemu ya Migogoro ya Ardhi katika Mkoa huo.




Hivyo makala Lukuvi:Makazi holela lazima yarasimishwe .

yaani makala yote Lukuvi:Makazi holela lazima yarasimishwe . Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Lukuvi:Makazi holela lazima yarasimishwe . mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/lukuvimakazi-holela-lazima-yarasimishwe.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Lukuvi:Makazi holela lazima yarasimishwe ."

Post a Comment