Yvonne Chakachaka kufanya kazi na msanii mwingine kutoka Tanzania.

Yvonne Chakachaka kufanya kazi na msanii mwingine kutoka Tanzania. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Yvonne Chakachaka kufanya kazi na msanii mwingine kutoka Tanzania., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Yvonne Chakachaka kufanya kazi na msanii mwingine kutoka Tanzania.
kiungo : Yvonne Chakachaka kufanya kazi na msanii mwingine kutoka Tanzania.

soma pia


Yvonne Chakachaka kufanya kazi na msanii mwingine kutoka Tanzania.

Collabo mpya ya Yvonne Chakachaka na msanii wa Tanzania.

Miezi kadhaa iliyopita King wa Bongo Flava Ali Kiba alitangaza rasmi ujio wa ngoma yake na mwanamuziki mkongwe, maarufu na wa zamani kutoka Afrika ya Kusini Yvonne Chakachaka. 

Hii ilikuwa ni hatua muhimu sana ya kimuziki kwa nguli huyo wa muziki kutoka Tanzania katika juhudi za kuutangaza muziki wa Tanzania nje ya mipaka, lakini pia kuuthibitisha umma juu ya uwezo wake kimuziki. 

Lakini inaonekana kwamba Yvonne Chakachaka aliyetamba na nyimbo kama "Mama Afrika", "Thank you Mr. Dj" na "Umqombothi" miaka ya 80, amevutiwa sana na muziki wa Bongo na hivyo kuwa tayari kufanya kazi na wasanii wengine kutoka hapa nchini. 

Hii inathibitika baada ya hivi karibuni, kupitia account yake ya instagram kuonesha kuwa yuko studio na moja ya wasanii wa Tanzania, Otuck William, wakirekodi wimbo. Legend huyo wa muziki wa Africa AKA "The Princess of Africa" aliandika, "Spending some time with my son @otuck_william in Kigali, doing some work for the youth. Day well spent, thank you @mrmingz". 

Yvonne Chakachaka alikua jijini Kigali, nchini Rwanda kwa ajili ya onesho na kukutana na Otuck, ambaye pia alikua huko kwenye shughuli zake za kikazi na kimuziki, hivyo tutegemee kikubwa kutoka kwa hivi vichwa viwili. Otuck ni msanii mkongwe wa RnB nchini anayetambulika sana na ngoma zake kama Deja Vu, Roho Juu alitomshirikisha Heri Muziki na So Cold aliyoitoa hivi karibuni.


Hivyo makala Yvonne Chakachaka kufanya kazi na msanii mwingine kutoka Tanzania.

yaani makala yote Yvonne Chakachaka kufanya kazi na msanii mwingine kutoka Tanzania. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Yvonne Chakachaka kufanya kazi na msanii mwingine kutoka Tanzania. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/yvonne-chakachaka-kufanya-kazi-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Yvonne Chakachaka kufanya kazi na msanii mwingine kutoka Tanzania."

Post a Comment