VODA WARRIORS YAICHABANGA TIMU YA STANBIC BANK KWA VIKAPU 34-31

VODA WARRIORS YAICHABANGA TIMU YA STANBIC BANK KWA VIKAPU 34-31 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa VODA WARRIORS YAICHABANGA TIMU YA STANBIC BANK KWA VIKAPU 34-31, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : VODA WARRIORS YAICHABANGA TIMU YA STANBIC BANK KWA VIKAPU 34-31
kiungo : VODA WARRIORS YAICHABANGA TIMU YA STANBIC BANK KWA VIKAPU 34-31

soma pia


VODA WARRIORS YAICHABANGA TIMU YA STANBIC BANK KWA VIKAPU 34-31

 Mchezaji wa timu ya Voda Warriors Kelvin Nyanda akifunga moja ya goli wakati wa mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Stanbic Bank  uliofanyika katika viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Voda Warriors ilishinda kwa vikapu 34-31.
 Dawn Mturi wa timu ya Voda Warriors akiwatoka wachezaji wa timu ya Stanbic Bank wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, VodaWarriors walishinda kwa Vikapu 34-31.
  Wachezaji wa timu ya Stanbic Bank wakijaribu kuokoa hatari langoni mwao wakati wa mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Voda Warriors uliofanyika Gymkhana jijini Dar es Salaam, Voda Warriors waliibuka washindi kwa vikapu 34-31.

 Dawn Mturi wa timu ya Voda Warriors akimkaba mchezaji wa timu ya Stanbic Bank wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam, VodaWarriors walishinda kwa Vikapu 34-31.
Wachezaji wa Timu za mpira wa kikapu  za VodaWarriors na Stanbic Bank wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa mchezo wa kirafiki uliofanyika mwishoni mwa wiki, VODA WARRIORS waliinyuka  Stanbic bank kwa vikapu 34-31.


Hivyo makala VODA WARRIORS YAICHABANGA TIMU YA STANBIC BANK KWA VIKAPU 34-31

yaani makala yote VODA WARRIORS YAICHABANGA TIMU YA STANBIC BANK KWA VIKAPU 34-31 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala VODA WARRIORS YAICHABANGA TIMU YA STANBIC BANK KWA VIKAPU 34-31 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/voda-warriors-yaichabanga-timu-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "VODA WARRIORS YAICHABANGA TIMU YA STANBIC BANK KWA VIKAPU 34-31"

Post a Comment