MADEREVA WALEVI KUKIONA

MADEREVA WALEVI KUKIONA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MADEREVA WALEVI KUKIONA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MADEREVA WALEVI KUKIONA
kiungo : MADEREVA WALEVI KUKIONA

soma pia


MADEREVA WALEVI KUKIONA

JOSEPH MPANGALA,MTWARA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara DCP Lucas Mkondya amewaonya Madereva wa Magari na Pikipiki Kuacha Kutumia Kilevi na baadaye Kuendesha Hasa katika Sikukuu ijayo ya Idd El Fitri.

Akiongea na waandishi wa habari Ofisini kwake Kamanda Mkondya amewataka watu woote wanaotumia Kilevi kuhakikisha wanatafuta madereva watakao wandesha kwa lengo la kuepuka Ajali.

“Tukikumata umelewa na unaendesha gari Utakaa mahabusu ya Polisi Mpaka Sikukuu itakapokwisha ndio tutakupeleka Mahakamani,Kwa hiyo Tukikukamata siku ya Iddi Utakuja kupelekwa Mahakaman siku ya Jumatatu lakini kama unaona Huwezi Sikumbili haziwez kupita Bila kunywa Pombe ni Bora Utafute Dereva aweze kukuendesha”

Aidha ameongeza kuwa katika siku ya Idi Watu woote wanaopenda kukaa maeneo ya ufukweni wahakikishe wanaondoka na kurudi majumbani Pindi inapofika Mida ya saa 12 Jioni.

“Inapofika Saa12 jioni hatutaruhusu watu kuendelea kuogelea baharini kwa hiyo tunawaomba waende mapema na itakapofika saa12 jioni werejee majumbani”


Hivyo makala MADEREVA WALEVI KUKIONA

yaani makala yote MADEREVA WALEVI KUKIONA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MADEREVA WALEVI KUKIONA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/madereva-walevi-kukiona.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MADEREVA WALEVI KUKIONA"

Post a Comment