Korea Kaskazini na Marekani: Donald Trump na Kim Jong Un wakutana ana kwa ana Singapore

Korea Kaskazini na Marekani: Donald Trump na Kim Jong Un wakutana ana kwa ana Singapore - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Korea Kaskazini na Marekani: Donald Trump na Kim Jong Un wakutana ana kwa ana Singapore, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Korea Kaskazini na Marekani: Donald Trump na Kim Jong Un wakutana ana kwa ana Singapore
kiungo : Korea Kaskazini na Marekani: Donald Trump na Kim Jong Un wakutana ana kwa ana Singapore

soma pia


Korea Kaskazini na Marekani: Donald Trump na Kim Jong Un wakutana ana kwa ana Singapore




Mkutano wa kihistoria kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na Kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un umefanyika nchini Singapore.
Wawili hao walikutana kwanza kwa dakika 38 kwa mujibu wa ikulu ya White House, na walikuwa ni wawili hao pekee na wakalimani wao.
Mkutano huo ulianza kwa viongozi wawili kusalimiana kwa tabasamu na kisha kuelekea ukumbi wa maktaba ya Cappela Hotel kwa ajili ya sehemu ya kwanza ya mkutano wa ana kwa ana baina yao.Bw Trump amesema wawili hao walipiga hatua kubwa na kwamba karibuni kutakuwa na sherehe ya kutia saini nyaraka ya makubaliano.



Wamekuwa wakijadiliana kuhusu njia za kupunguza uhasama rasi ya Korea na kati ya Korea Kaskazini na Marekani na pia jinsi ya kupunguza silaha za nyuklia.
Baadaye walitia saini waraka wa makubaliano.
Mkutano uliokua ukisubiriwa kwa hamu na ghamu ulifanyika katika Hotel ya Capella katika kisiwa cha utalii cha Sentosa.

Trump na Kim Jong-un wamekubaliana nini?

Mwandishi wa BBC amedondoa mambo manne makuu ambayo Trump na Kim wameafikiana kwenye waraka wao:
  • Marekani na Korea Kaskazini zitaanzisha uhusiano mpya wa Marekani na Korea Kaskazini kwa mujibu wa matamanio ya raia wa nchi zote mbili ya kuwa na amani na ustawi.
  • Marekani na Korea Kaskazini zitashirikiana katika kujenga na kudumisha amani ya kudumu Rasi ya Korea
  • Kukariri maafikiano ya Panmunjom ya Aprili 27, 2018 wakati wa mkutano wa marais wa Korea Kusini na Kaskazini, kwamba Korea Kaskazini itachukua hatua kuhakikisha kuangamizwa kabisa kwa silaha za nyuklia katika rasi ya Korea.
  • Marekani na Korea Kaskazini zimejitolea kuhakikisha kupatikana kwa mateka wa vita na watu waliotoweka vitani, pamoja na miili yao, ikiwa ni pamoja na kurejeshwa kwa wafungwa na miili ya wale waliotambuliwa.


Hivyo makala Korea Kaskazini na Marekani: Donald Trump na Kim Jong Un wakutana ana kwa ana Singapore

yaani makala yote Korea Kaskazini na Marekani: Donald Trump na Kim Jong Un wakutana ana kwa ana Singapore Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Korea Kaskazini na Marekani: Donald Trump na Kim Jong Un wakutana ana kwa ana Singapore mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/korea-kaskazini-na-marekani-donald.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Korea Kaskazini na Marekani: Donald Trump na Kim Jong Un wakutana ana kwa ana Singapore"

Post a Comment