ULEGA AZIDI KUTATUA CHANGAMOTO ZA WANANCHI WA MKURANGA

ULEGA AZIDI KUTATUA CHANGAMOTO ZA WANANCHI WA MKURANGA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ULEGA AZIDI KUTATUA CHANGAMOTO ZA WANANCHI WA MKURANGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ULEGA AZIDI KUTATUA CHANGAMOTO ZA WANANCHI WA MKURANGA
kiungo : ULEGA AZIDI KUTATUA CHANGAMOTO ZA WANANCHI WA MKURANGA

soma pia


ULEGA AZIDI KUTATUA CHANGAMOTO ZA WANANCHI WA MKURANGA

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Abdallah Ulega amefanya ziara katika vijiji vya Kise, Kibululu na Kiparang'anda (B) Kata ya Kiparang'nda ili kujua changamoto mbalimbali zinazo wakabili wananchi na kuweza kuzishughulikia kupitia Halmashauri pamoja Ofisi yake.
Akizungumza na wananchi wa Vijiji hivyo amesema wakati wa sasa ni kufanya wa maendeleo ya kweli bila kuangalia itikadi za vyama.
 Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa jimbo la Mkuranga, Abdallah Ulega akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Kise Kata ya Kiparang'nda kuhusu changamoto mbalimbali zinazo wakabili wananchi hao.
 Mkazi wa Mkuranga, Selemani Mpambika akiuliza swali kwa kwa Naibu Waziri Mifugo na  Uvuvi, ambae ni mbunge wa jimbo la Mkuranga, Abdallah Ulega wakati wa mkutano huo.
 Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa jimbo la Mkuranga,, Abdallah Ulega (alieshika kikombe cha kahawa) akiwa sambamba na Wazee wa Mkuranga kwenye kijiwe cha kahawa akipata kikombe cha kahawa pamoja ambapo pia walibadilishana mawazo juu ya maendeleo ya wilaya yao.Picha na Emmanuel Massaka, Globu ya jamii.


Hivyo makala ULEGA AZIDI KUTATUA CHANGAMOTO ZA WANANCHI WA MKURANGA

yaani makala yote ULEGA AZIDI KUTATUA CHANGAMOTO ZA WANANCHI WA MKURANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ULEGA AZIDI KUTATUA CHANGAMOTO ZA WANANCHI WA MKURANGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/ulega-azidi-kutatua-changamoto-za.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "ULEGA AZIDI KUTATUA CHANGAMOTO ZA WANANCHI WA MKURANGA"

Post a Comment