TAARIFA YA UPIMAJI KANSA KWA WENYE UALBINO

TAARIFA YA UPIMAJI KANSA KWA WENYE UALBINO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAARIFA YA UPIMAJI KANSA KWA WENYE UALBINO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAARIFA YA UPIMAJI KANSA KWA WENYE UALBINO
kiungo : TAARIFA YA UPIMAJI KANSA KWA WENYE UALBINO

soma pia


TAARIFA YA UPIMAJI KANSA KWA WENYE UALBINO


Kaka na dada wetu,

@imetoshafoundation wa kushirikiana na Umoja wa watu wenye ualbino Tanzania, na Taasisi ya Kansa ya Ocean Road, tumeandaa upimaji wa Kansa kwa watu wenye ualbino waishio jijini Dar es Salaam ikiwa ni jitihada zetu katika kujaribu kupunguza vifo vya watu wenye ualbino vinavyosababishwa na saratani ya ngozi. 

Watu wengi hufariki baada ya kugundua ugonjwa ukiwa umwshaenea mwilini, na inawezekana kuutibu ukiwa bado haujafikia hatua mbaya.
Hivyo basi kama unamjua mtu mwenye ualbino umpe taarifa kwamba kuna upimaji wa BURE Ocean Road kwa siku mbili, ili kutambua afya yake na kuanza kupata tiba kabla ugonjwa haujamuathiri.
Sambaza ujumbe, tuokoe maisha


Hivyo makala TAARIFA YA UPIMAJI KANSA KWA WENYE UALBINO

yaani makala yote TAARIFA YA UPIMAJI KANSA KWA WENYE UALBINO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAARIFA YA UPIMAJI KANSA KWA WENYE UALBINO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/taarifa-ya-upimaji-kansa-kwa-wenye.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TAARIFA YA UPIMAJI KANSA KWA WENYE UALBINO"

Post a Comment