SITA WAJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI

SITA WAJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SITA WAJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SITA WAJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI
kiungo : SITA WAJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI

soma pia


SITA WAJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI

 Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa jimbo la Mkuranga,Abdallah Ulega akimkabidhi kadi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa aliyekuwa Katibu wa Chama cha Wananchi (CUF) Kata ya Mwalusembe, Abass Mjavile.
 Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa jimbo la Mkuranga, Abdallah Ulega akikabidhi bati 80 na mifuko 60 ya saruji kwa ajili ya ukarabati wa ofisi mbambali za chama cha mapinduzi kata ya Mwarusembe  zenye thamani y ash.milioni mbili.
 Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa jimbo la Mkuranga, Abdallah Ulega akizungumza na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM)  wa Kata ya Mwarusembe  ambapo wanachama wapya sita walijiunga  na chama hicho kutoka Chama cha Wananchi (CUF).
 Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa jimbo la Mkuranga, Abdallah Ulega akiwakabidhi pikipiki kwa viongozi wa chama hicho kata ya Mwalusembe yenye thamani ya zaidi ya milioni mbili
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi  (CCM)  wa Kata ya Mwarusembe  wakisikiliza Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa jimbo la Mkuranga, Abdallah Ulega. (Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii)


Hivyo makala SITA WAJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI

yaani makala yote SITA WAJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SITA WAJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/sita-wajiunga-na-chama-cha-mapinduzi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SITA WAJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI"

Post a Comment