title : maadhimisho siku ya maahakama yafana Njombe
kiungo : maadhimisho siku ya maahakama yafana Njombe
maadhimisho siku ya maahakama yafana Njombe
Mawakili wa Kujitegemea Mkoani Njombe Wamewatupia Lawama Watoa Maamuzi Katika Muhimili wa Mahakama Kwakuwa na Visingizio Mbalimbali Vinavyosababisha Mashauri ya Watuhumiwa Kuahirishwa Mara Kwa Mara na Kusababisha Kuongeza Gharama Katika Uendeshaji Kesi.
Akitoa taarifa katika Maazimisho ya Kilele Cha Wiki ya Sheria Ambayo Kimkoa Imefanyika Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Njombe Wakili wa Kujitegemea Bwana Barnaba Mwangi Kupitia Taarifa ya Chama Cha Wanasheria Afrika Mashariki Anasema Miongoni Mwa Changamoto Kubwa Inayowakwamisha ni Visingizio Vinavyofanywa na Baadhi ya Mahakimu Kwa Kuahirisha Kesi Mara Kwa Mara Bila Sababu za Msingi Jambo Linalo Minya Upatikanaji wa Haki Kwa Wakati.
John Kapokolo ni Hakimu Mfawidhi wa Makahama ya Hakimu Mkazi Njombe Ambaye Anasema Kuwa Mfumo Mpya wa TEHEMA Utakapoanza Kufanya Kazi Katika Muhimili wa Mahakama Kama Ambavyo Kauli Mbiu ya Wiki Sheria Inasema Basi Huenda Ikawa Muarobaini wa Kupatikana Kwa Haki Kwa Wakati na Kwa Weledi Mkubwa.

Miongoni Mwa Changamoto Zilizotajwa na Hakimu Kapokolo Katika Taarifa Yake ni Pamoja na Gharama Kubwa ya Upimaji wa Maeneo ya Mahakama za Mwanzo Hoja Inayotolewa Majibu na Mgeni Rasmi Katika Maazimisho Hayo Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka.
Baadhi ya Wadau Mkoani Njombe Akiwemo Mexon Sanga Hapa Anasema Anaamini Mfumo wa TEHEMAUtakwenda Kusaidia Sana Katika Upatikanaji wa Haki Kwani Hata Yeye Amekuwa Muhanga wa Namna Vyombo Vya Dola Vinavyo Shindwa Kuheshimu Muhimili wa Mahakama na Kuwakandamizi Wananchi.

Kaulimbiu ya Wiki ya Sheria Kwa Mwaka Huu Inasema ''Matumizi ya TEHEMA Katika Utoaji Haki Kwa Wakati na Kuzingatia Maadili"Kaulimbiu Inayokwenda Kuweka Bayana Kila Ushahidi Unaotolewa Mahakamani Kwa Njia ya Kunakiliwa Kwa Sauti na Video Bila Ubabaishaji Kama Inavyofanyika Katika Vikao Vya Bunge.
Hivyo makala maadhimisho siku ya maahakama yafana Njombe
yaani makala yote maadhimisho siku ya maahakama yafana Njombe Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala maadhimisho siku ya maahakama yafana Njombe mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/maadhimisho-siku-ya-maahakama-yafana.html
0 Response to "maadhimisho siku ya maahakama yafana Njombe"
Post a Comment