Nyota ya Dkt Shika Yazidi Kung'aa Atunukiwa Kuwa Mgeni Rasmi Katika Mahafali ya Chuo Kahama

Nyota ya Dkt Shika Yazidi Kung'aa Atunukiwa Kuwa Mgeni Rasmi Katika Mahafali ya Chuo Kahama - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Nyota ya Dkt Shika Yazidi Kung'aa Atunukiwa Kuwa Mgeni Rasmi Katika Mahafali ya Chuo Kahama, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Nyota ya Dkt Shika Yazidi Kung'aa Atunukiwa Kuwa Mgeni Rasmi Katika Mahafali ya Chuo Kahama
kiungo : Nyota ya Dkt Shika Yazidi Kung'aa Atunukiwa Kuwa Mgeni Rasmi Katika Mahafali ya Chuo Kahama

soma pia


Nyota ya Dkt Shika Yazidi Kung'aa Atunukiwa Kuwa Mgeni Rasmi Katika Mahafali ya Chuo Kahama


DKT Louis Shika ambaye amekuwa maarufu kwa muda mfupi kama ‘bilionea wa nyumba za Lugumi’ wakati wa kunadi nyumba za Said Lugumi jijini Dar es Salaam, ametunukiwa heshima ya kuwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya Chuo cha Afya  kilichoko Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga,  ambako amepokelewa kama mfalme.
Mapokezi hayo ya kipekee yameanzia uwanja wa ndege wa mjini Kahama alipowekwa kwenye gari la wazi huku msafara mkubwa uliokuwepo ukijumuisha na bodaboda,  magari na mamia ya watu mbalimbali waliojitokeza kumwoma na kumlaki.
Ziara hiyo ya Dkt. Shika mkoani humo itamalizika jioni hii chuoni hapo ambapo anatarajiwa kurejea kwa ndege Dar es Salaam usiku.



Hivyo makala Nyota ya Dkt Shika Yazidi Kung'aa Atunukiwa Kuwa Mgeni Rasmi Katika Mahafali ya Chuo Kahama

yaani makala yote Nyota ya Dkt Shika Yazidi Kung'aa Atunukiwa Kuwa Mgeni Rasmi Katika Mahafali ya Chuo Kahama Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Nyota ya Dkt Shika Yazidi Kung'aa Atunukiwa Kuwa Mgeni Rasmi Katika Mahafali ya Chuo Kahama mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/nyota-ya-dkt-shika-yazidi-kungaa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Nyota ya Dkt Shika Yazidi Kung'aa Atunukiwa Kuwa Mgeni Rasmi Katika Mahafali ya Chuo Kahama"

Post a Comment