MTANDAO WA KIJANI KIBICHI TANZANIA KUTANGAZA UTALII THAILAND

MTANDAO WA KIJANI KIBICHI TANZANIA KUTANGAZA UTALII THAILAND - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MTANDAO WA KIJANI KIBICHI TANZANIA KUTANGAZA UTALII THAILAND, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MTANDAO WA KIJANI KIBICHI TANZANIA KUTANGAZA UTALII THAILAND
kiungo : MTANDAO WA KIJANI KIBICHI TANZANIA KUTANGAZA UTALII THAILAND

soma pia


MTANDAO WA KIJANI KIBICHI TANZANIA KUTANGAZA UTALII THAILAND


 Mtaribu wa ziara hiyo, Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kampuni ya Resorce Afrika Limited, Idrissa Songoro akizungumza kuhusu maandalizi ya ziara ya mafunzo ya Wanachama wa Mtandao wa Kijani Kibichi Tanzania (MKIKITA),nchi Thailand inayotarajia kuanza katilati ya mwezi ujao Novemba mwaka huu. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao huo, Adam Ngamange na Mwenyeikiti wa Bodi ya Mkikita, Dk. Kisui . Kisui.UJUMBE wa Wanachama wa Mtandao wa Kijani Kibichi Tanzania (MKIKITA) unaokwenda ziara ya mafunzo nchini Thailand, umejiandaa pia  kwenda kuutangaza utalii wa Tanzania.
 Songoro na viongozi wa Mkikita wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wanamkikita wanaotarajia kwenda Thailand kwa ziara ya wiki moja.
 Dk. Kisui akielezea jinsi Mkikita ulivyojipanga kwa ziara hiyo, itakayowanufaisha wanachama kwa kukutana ana kwa anakwa mazungmzo  na wafanyabiashara na wakulima wa Thailand pamoja na kuingia nao mikataba mbalimbali. 
 Mkurugenzi Mtendaji wa Mkikita, Ngamange akifafanua jambo kwa wajumbe wa kikao hicho.


Hivyo makala MTANDAO WA KIJANI KIBICHI TANZANIA KUTANGAZA UTALII THAILAND

yaani makala yote MTANDAO WA KIJANI KIBICHI TANZANIA KUTANGAZA UTALII THAILAND Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MTANDAO WA KIJANI KIBICHI TANZANIA KUTANGAZA UTALII THAILAND mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/mtandao-wa-kijani-kibichi-tanzania.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MTANDAO WA KIJANI KIBICHI TANZANIA KUTANGAZA UTALII THAILAND"

Post a Comment