UCHAGUZI UWT NGAZI YA WILAYA LEO, MAKILAGI AONYA WATAKAOKIUKA TARATIBU

UCHAGUZI UWT NGAZI YA WILAYA LEO, MAKILAGI AONYA WATAKAOKIUKA TARATIBU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UCHAGUZI UWT NGAZI YA WILAYA LEO, MAKILAGI AONYA WATAKAOKIUKA TARATIBU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UCHAGUZI UWT NGAZI YA WILAYA LEO, MAKILAGI AONYA WATAKAOKIUKA TARATIBU
kiungo : UCHAGUZI UWT NGAZI YA WILAYA LEO, MAKILAGI AONYA WATAKAOKIUKA TARATIBU

soma pia


UCHAGUZI UWT NGAZI YA WILAYA LEO, MAKILAGI AONYA WATAKAOKIUKA TARATIBU

DAR ES SALAAM
Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Amina Makillagi, amewataka wagombea na wajumbe wote wa mikutano mikuu ya wilaya kwenye Uchaguzi wa jumuiya hiyo ngazi ya wilaya utakaofanyika leo, tarehe 21/9/2017 kuzingatia maadili ya Chama na UWT.


 "Kubwa ni kutotoa wala kupokea rushwa. UWT imejiandaa vizuri kuhakikisha inafuatilia nyendo zozote ovu zitakazojitokeza katika Uchaguzi. Mgombea yeyote atakayetoa rushwa atachukuliwa hatua za kinidhamu kabla na baada ya Uchaguzi kuisha ikiwa ni pamoja na kuvuliwa nafasi ya uongozi iliyopatikana kwa mazingira tatanishi", amesema Makilagi. 



Makillagi ambaye amewatakia uchaguzi mwema wanachama wote wa UWT, amesisitiza kuwa rushwa haitavumilika na kwa mjumbe yeyote atakayepokea rushwa na kwamba kanuni zilizopo zitamuwajibisha ipasavyo.


Hivyo makala UCHAGUZI UWT NGAZI YA WILAYA LEO, MAKILAGI AONYA WATAKAOKIUKA TARATIBU

yaani makala yote UCHAGUZI UWT NGAZI YA WILAYA LEO, MAKILAGI AONYA WATAKAOKIUKA TARATIBU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UCHAGUZI UWT NGAZI YA WILAYA LEO, MAKILAGI AONYA WATAKAOKIUKA TARATIBU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/uchaguzi-uwt-ngazi-ya-wilaya-leo.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "UCHAGUZI UWT NGAZI YA WILAYA LEO, MAKILAGI AONYA WATAKAOKIUKA TARATIBU"

Post a Comment