title : RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA BARABARA YA KILOMITA 26 YA KIA-MERERANI MKOA WA MANYARA LEO
kiungo : RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA BARABARA YA KILOMITA 26 YA KIA-MERERANI MKOA WA MANYARA LEO
RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA BARABARA YA KILOMITA 26 YA KIA-MERERANI MKOA WA MANYARA LEO
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa kwa furaha na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Joel Bendera alipowasili kuzindua barabara ya lami ya kilomita 26 kutoka Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa kilimanjaro (KIA) katika mkoa wa Kilimanjaro hadi Mererani mkoani Manyara leo Septemba 20, 2017.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akizinfdua rasmi barabara ya lami ya kilomita 26 kutoka Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa kilimanjaro (KIA) katika mkoa wa Kilimanjaro hadi Mererani mkoani Manyara leo Septemba 20, 2017.Picha na Ikulu.
Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA BARABARA YA KILOMITA 26 YA KIA-MERERANI MKOA WA MANYARA LEO
yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA BARABARA YA KILOMITA 26 YA KIA-MERERANI MKOA WA MANYARA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA BARABARA YA KILOMITA 26 YA KIA-MERERANI MKOA WA MANYARA LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/rais-dkt-magufuli-azindua-barabara-ya_1.html
0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA BARABARA YA KILOMITA 26 YA KIA-MERERANI MKOA WA MANYARA LEO"
Post a Comment