title : NAIBU WAZIRI WA AFYA DKT.KIGWANGALLA AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA ULIOHUSISHA WADAU WA SEKTA AFYA YA BINAFSI NA YA UMMAr
kiungo : NAIBU WAZIRI WA AFYA DKT.KIGWANGALLA AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA ULIOHUSISHA WADAU WA SEKTA AFYA YA BINAFSI NA YA UMMAr
NAIBU WAZIRI WA AFYA DKT.KIGWANGALLA AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA ULIOHUSISHA WADAU WA SEKTA AFYA YA BINAFSI NA YA UMMAr
Mwambawahabari
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangalla akifungua mkutano wakwanza uliohusisha wadau wa sekta ya Afya ya binafsi na ya umma, uliofanyika mapema leo katika ukumbi wa Banki kuu ya Tanzania jijini Dar es salaam.
Wadau mbali mbali wa sekta ya Afya ya binafsi na ya umma wakifuatilia mjadala uliofunguliwa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangalla kuhusu masuala ya utoaji wa huduma za Afya nchini Tanzania.
Kaimu Mkurugenzi wa Tiba Wizara ya Afya Dkt. Dorothy Gwajima akimkabidhi cheti Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangalla wakati wa ufunguzi wa mkutano wakwanza wa wadau wa Sekta ya Afya ya binafsi na ya umma uliofanyika mapema leo katika ukumbi wa Banki kuu ya Tanzania jijini Dar es salaam.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangalla akigawa cheti kwa mmoja wa wadau kutoka sekta ya Afya ya Binafsi katika mkutano wa ufunguzi wa kwanza wa wadau wa sekta ya Afya ya binafsi na ya umma uliofanyika mapema leo jijini Dar es salaam.
Meza kuu ikiongozwa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangalla na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Muhammad Bakari Kambi wakati wa ufunguzi wa mkutano wakwanza wa wadau wa sekta ya Afya ya binafsi na ya umma, wa kwanza kushoto ni kiongozi Mkuu wa APHTA Dkt. Samwel Ogillo na wa mwisho kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Tiba Wizara ya Afya Dkt. Dorothy Gwajima.
Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Muhammad Bakari Kambi wakiteta jambo na Mkuu wa APHTA Dkt. Samwel Ogillo wakati wa ufunguzi wa mkutano wakwanza wa wadau wa Sekta ya Afya ya binafsi na ya umma ulioongozwa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangalla mapema leo jijini Dar es salaam.
Picha ya Pamoja ikiongozwa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangalla na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Muhammad Bakari Kambi wakati wa ufunguzi wa mkutano wakwanza wa wadau wa Sekta ya Afya ya binafsi na ya umma,kulia kwa Naibu Waziri ni Mkuu wa Coopenation Bi Camilla Christensen, akifuatiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Tiba Wizara ya Afya Dkt. Dorothy Gwajima na wa mwisho ni Mkuu wa APHTA Dkt. Samwel Ogillo.
Hivyo makala NAIBU WAZIRI WA AFYA DKT.KIGWANGALLA AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA ULIOHUSISHA WADAU WA SEKTA AFYA YA BINAFSI NA YA UMMAr
yaani makala yote NAIBU WAZIRI WA AFYA DKT.KIGWANGALLA AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA ULIOHUSISHA WADAU WA SEKTA AFYA YA BINAFSI NA YA UMMAr Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI WA AFYA DKT.KIGWANGALLA AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA ULIOHUSISHA WADAU WA SEKTA AFYA YA BINAFSI NA YA UMMAr mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/naibu-waziri-wa-afya-dktkigwangalla.html
0 Response to "NAIBU WAZIRI WA AFYA DKT.KIGWANGALLA AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA ULIOHUSISHA WADAU WA SEKTA AFYA YA BINAFSI NA YA UMMAr"
Post a Comment