NAIBU SPIKA TULIA ACKSON AZINDUA JENGO LA MALIWATO YA WANAWAKE HOSPITALI YA WILAYA YA RUNGWE

NAIBU SPIKA TULIA ACKSON AZINDUA JENGO LA MALIWATO YA WANAWAKE HOSPITALI YA WILAYA YA RUNGWE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU SPIKA TULIA ACKSON AZINDUA JENGO LA MALIWATO YA WANAWAKE HOSPITALI YA WILAYA YA RUNGWE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU SPIKA TULIA ACKSON AZINDUA JENGO LA MALIWATO YA WANAWAKE HOSPITALI YA WILAYA YA RUNGWE
kiungo : NAIBU SPIKA TULIA ACKSON AZINDUA JENGO LA MALIWATO YA WANAWAKE HOSPITALI YA WILAYA YA RUNGWE

soma pia


NAIBU SPIKA TULIA ACKSON AZINDUA JENGO LA MALIWATO YA WANAWAKE HOSPITALI YA WILAYA YA RUNGWE

Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Tukuyu, Ezekiel Manyemele, wakifunua kitambaa kuzindua Jengo la Choo cha wanawake katika Hospitali ya Makandana Wilayani Rungwe, jana Sept 20, 2017. Jengo hilo la Choo limegharimu zaidi ya Sh. milioni 50.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akipanda mti na Mwanafunzi wa darasa la Sita wa Shule ya Msingi Segera, Tunza Fred, wakati alipotembelea shule hiyo kukabidhi Vifaa vya ukarabati wa shule hiyo akiwa katika ziara yake Wilaya ya Rungwe jana Sept 20, 2017. Jumla ya miti 160 ilipandwa katika shule hiyo ikiwa ni sehemu ya kutunza mazingira.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akimkabidhi tofali, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Segera, Fred Mfwea (wa pili kulia) na Diwani wa Kata ya Segera (katikati) wakati alipotembelea shuleni hapo kukabidhi Vifaa vya ukarabati wa shule hiyo akiwa katika ziara yake Wilaya ya Rungwe jana Sept 20, 2017.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akicheza muziki 'Ndiyo Maana Tenzele' wa asili wa kabila la Wasafa na Mwenyekiti wa Kijiji cha Unyamwange, Julius Pascal, wakati alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya akiangalisha fedha kwa ajili ya Ujenzi wa Kituo cha afya Kata ya Isongole jana sept 20,2017. tofali.Picha na Muhidin Sufiani.


Hivyo makala NAIBU SPIKA TULIA ACKSON AZINDUA JENGO LA MALIWATO YA WANAWAKE HOSPITALI YA WILAYA YA RUNGWE

yaani makala yote NAIBU SPIKA TULIA ACKSON AZINDUA JENGO LA MALIWATO YA WANAWAKE HOSPITALI YA WILAYA YA RUNGWE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU SPIKA TULIA ACKSON AZINDUA JENGO LA MALIWATO YA WANAWAKE HOSPITALI YA WILAYA YA RUNGWE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/naibu-spika-tulia-ackson-azindua-jengo.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NAIBU SPIKA TULIA ACKSON AZINDUA JENGO LA MALIWATO YA WANAWAKE HOSPITALI YA WILAYA YA RUNGWE"

Post a Comment