title : IGP SIMON SIRRO AKIWA KATIKA ZIARA YA KIKAZI MERERANI MKOANI MANYARA
kiungo : IGP SIMON SIRRO AKIWA KATIKA ZIARA YA KIKAZI MERERANI MKOANI MANYARA
IGP SIMON SIRRO AKIWA KATIKA ZIARA YA KIKAZI MERERANI MKOANI MANYARA
Mwambawahabari
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akisalimiana na wananchi wa Mererani baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dk.John Magufuli kufungua barabara ya kiwango cha lami cha kilometa 26 kutoka KIA hadi Mererani.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akizungumza na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo (kulia) na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro Hamisi Suleiman katika uwanja wa ndege wa KIA wakati wakimsubiri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dk.John Magufuli.
Picha na Jeshi la Polisi
Hivyo makala IGP SIMON SIRRO AKIWA KATIKA ZIARA YA KIKAZI MERERANI MKOANI MANYARA
yaani makala yote IGP SIMON SIRRO AKIWA KATIKA ZIARA YA KIKAZI MERERANI MKOANI MANYARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIMON SIRRO AKIWA KATIKA ZIARA YA KIKAZI MERERANI MKOANI MANYARA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/igp-simon-sirro-akiwa-katika-ziara-ya.html
0 Response to "IGP SIMON SIRRO AKIWA KATIKA ZIARA YA KIKAZI MERERANI MKOANI MANYARA"
Post a Comment