MKAZI WA LINDI ALAMBA KITITA CHA ZAIDI YA MIL 118/- M-BET

MKAZI WA LINDI ALAMBA KITITA CHA ZAIDI YA MIL 118/- M-BET - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKAZI WA LINDI ALAMBA KITITA CHA ZAIDI YA MIL 118/- M-BET, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKAZI WA LINDI ALAMBA KITITA CHA ZAIDI YA MIL 118/- M-BET
kiungo : MKAZI WA LINDI ALAMBA KITITA CHA ZAIDI YA MIL 118/- M-BET

soma pia


MKAZI WA LINDI ALAMBA KITITA CHA ZAIDI YA MIL 118/- M-BET

 Mshindi wa kitita cha zaidi ya shilingi milioni wa zaidi 118/- Erick Matey ambaye ni mkazi wa mkoa wa Lindi,akiwa ameshikilia hundi yake mara baada ya kukabidhiwa rasmi leo wakati wa hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam ya kumkabidhi mshindi hiyo aliyojishindia  kupitia mchezo wa kubahatisha Supper 12 unaoendeshwa na M-bet.

 Kaimu Mkurugenzi wa  Uendeshaji na Sheria wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini, James Mbalwe(kulia) na Afisa habari wa M-BET,David Malley(katikati)wakimsikiliza mshindi waM-BET aliyejishindia zaidi ya shilingi milioni  118/- Erick Matey,Ambaye ni mkazi wa mkoa wa Lindi,Wakati wa hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam ya kumkabidhi mshindi huyo hundi yake aliyojishindia  kupitia mchezo wa kubahatisha Supper 12 unaoendeshwa na M-bet.
 Mshindi wa kitita cha zaidi ya shilingi milioni wa zaidi 118/- Erick Matey ambaye ni mkazi wa mkoa wa Lindi(kushoto)akiwaonesha hundi yake waandishi wa habari(hawapo pichani) Wakati wa hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam ya kumkabidhi mshindi hiyo aliyojishindia  kupitia mchezo wa kubahatisha Supper 12 unaoendeshwa na M-bet,Wapili kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa  Uendeshaji na Sheria wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini, James Mbalwe na Afisa habari wa M-BET,David Malley.
Na Mwandishi wetu
MKAZI wa mkoa wa Lindi Mjini, Erick Matey mwenye umri wa miaka 26 ameibuka mshindi baada ya kubashiri vyema matokeo ya mechi kupitia Kampuni ya m-Bet na kujishindia zaidi ya Shilingi Milioni 118/-.

Matey amekabidhiwa fedha zake leo katika hafla  fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana

Kwa upande wake, Afisa habari wa  M-Bet, David Malley alisema kuwa Matey alifanikiwa kuzoa kitita hicho baada ya kufanikiwa kutabiri matokeo ya mechi 12 za ligi ya Ulaya kwa mtindo wa kucheza kawaida yaani super 12.

“Tunafarijika kumkabidhi Matey kitita hicho cha aidi ya Sh milioni 118/- akiwa ndiye mshindi wa m-Bet ambapo atapata Sh milioni 97/- baada ya makato ya kodi,” alisema Malley.

Aliwataka watanzania kuchangamkia kutumia mtandao wa intaneti kuonyesha ushabiki halisi wa soka akisema kuwa Perfect 12 ni mchezo wa ziada unaoruhusu kutabiri mechi 12 kwa Tsh 1,000 tu ambapo ukipatia zote  unaondoka na kitita chako mchana kweupe.


Hivyo makala MKAZI WA LINDI ALAMBA KITITA CHA ZAIDI YA MIL 118/- M-BET

yaani makala yote MKAZI WA LINDI ALAMBA KITITA CHA ZAIDI YA MIL 118/- M-BET Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKAZI WA LINDI ALAMBA KITITA CHA ZAIDI YA MIL 118/- M-BET mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/mkazi-wa-lindi-alamba-kitita-cha-zaidi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MKAZI WA LINDI ALAMBA KITITA CHA ZAIDI YA MIL 118/- M-BET"

Post a Comment