Serikali yatoa fedha 100% kwa ajili ya manunuzi ya dawa nchini

Serikali yatoa fedha 100% kwa ajili ya manunuzi ya dawa nchini - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Serikali yatoa fedha 100% kwa ajili ya manunuzi ya dawa nchini, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Serikali yatoa fedha 100% kwa ajili ya manunuzi ya dawa nchini
kiungo : Serikali yatoa fedha 100% kwa ajili ya manunuzi ya dawa nchini

soma pia


Serikali yatoa fedha 100% kwa ajili ya manunuzi ya dawa nchini

Na. Immaculate Makilika- MAELEZO

Serikali imetoa asilimia miamoja ya fedha za bajeti ya dawa kwa mwaka 2016/2017 kwa ajili ya manunuzi ya dawa ikiwa ni moja ya mikakati ya kuboresha sekta ya afya nchini.

Akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha TUNATEKELEZA kinachoratibiwa na Idara ya Habari – MAELEZO na kurushwa na kituo cha televisheni cha TBC, Mkurugenzi Mkuu wa Bohari Kuu ya Dawa Laurean Bwanakunu alisema kuwa serikali inawahakikishia wananchi kuwa katika mwaka wa fedha 2016/2017 imetenga fedha za kutosha ili kuhakikisha kuwa dawa zinapatikana katika vituo vya kutolea huduma za afya.

“Ikiwa ni asilimia 81 ya upatikanaji wa dawa pamoja na vifaa tiba katika maeneo ya mjini na vijijini, ambapo Bohari Kuu ya Dawa inahudumia vituo 5642 nchi kote” alisema Bwanakunu.

Pia, Bwanakunu alibainisha kuwa hivi sasa kumekuwepo na upatikanaji wa dawa muhimu 110 kati ya 135 katika vituo mbalimbali vinavyotoa huduma za huduma za afya.

Katika kuboresha huduma za usambazaji wa dawa nchini , Bohari Kuu ya Dawa imefanikiwa kufungua maduka ya dawa 7 katika mikoa ya Dar es salaam, Arusha, Geita, Mbeya na Lindi, ambapo imeanza kusafirisha dawa kwa kutumia ndege na treni ili kufikisha dawa kwa wakati katika vituo mbalimbali vya afya nchini.

Aidha, Mikoa na Halmashauri zimetakiwa kuwasilisha maombi yao ya dawa kwa wakati ili kutatua changamoto ya upungufu wa dawa katika vituo vya kutolea huduma za afya.


Hivyo makala Serikali yatoa fedha 100% kwa ajili ya manunuzi ya dawa nchini

yaani makala yote Serikali yatoa fedha 100% kwa ajili ya manunuzi ya dawa nchini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Serikali yatoa fedha 100% kwa ajili ya manunuzi ya dawa nchini mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/serikali-yatoa-fedha-100-kwa-ajili-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Serikali yatoa fedha 100% kwa ajili ya manunuzi ya dawa nchini"

Post a Comment