title : RAIS WA ZANZIBAR DK,ALI MOHAMMED SHEIN AFANYA ZIARA YA KUWAFARIJI WAATHIRIKA WA UPEPO WILAYA YA MAGHARIBI B UNGUJA
kiungo : RAIS WA ZANZIBAR DK,ALI MOHAMMED SHEIN AFANYA ZIARA YA KUWAFARIJI WAATHIRIKA WA UPEPO WILAYA YA MAGHARIBI B UNGUJA
RAIS WA ZANZIBAR DK,ALI MOHAMMED SHEIN AFANYA ZIARA YA KUWAFARIJI WAATHIRIKA WA UPEPO WILAYA YA MAGHARIBI B UNGUJA
Baadhi ya nyumba zilizoathirika kutokana na Upepo mkubwa uliotokezea hapo jana katika shehia ya Kinuni,Mwanakwerekwe na Pangawe zikionekana kuezekwa na wenyewe. Jumla ya nyumba 123 ziliathirika kutokana na Upepo huo Wilaya ya Magharibi B unguja.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud katikati akiwatembelea pamoja na kuwafariji waathirika wa Upepo uliotokezea katika shehia ya Kinuni, Mwanakwerekwe na Pangawe ambapo jumla ya nyumba 123 ziliathirika kutokana na Upepo huo Wilaya ya Magharibi B unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Pangawe na Kijitoupele Shamsi Vuai Nahotha wakati alipofanya ziara ya kuwatembelea na kuwafariji waathirika wa Upepo uliotokezea katika shehia ya Kinuni,Mwanakwerekwe na Pangawe ambapo jumla ya nyumba 123 ziliathirika kutokana na Upepo huo Wilaya ya Magharibi B unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein akipata maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud alipofanya ziara ya kuwatembelea na kuwafariji waathirika wa Upepo uliotokezea katika shehia ya Kinuni,Mwanakwerekwe na Pangawe ambapo jumla ya nyumba 123 ziliathirika kutokana na Upepo huo Wilaya ya Magharibi B unguja.PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala RAIS WA ZANZIBAR DK,ALI MOHAMMED SHEIN AFANYA ZIARA YA KUWAFARIJI WAATHIRIKA WA UPEPO WILAYA YA MAGHARIBI B UNGUJA
yaani makala yote RAIS WA ZANZIBAR DK,ALI MOHAMMED SHEIN AFANYA ZIARA YA KUWAFARIJI WAATHIRIKA WA UPEPO WILAYA YA MAGHARIBI B UNGUJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBAR DK,ALI MOHAMMED SHEIN AFANYA ZIARA YA KUWAFARIJI WAATHIRIKA WA UPEPO WILAYA YA MAGHARIBI B UNGUJA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/rais-wa-zanzibar-dkali-mohammed-shein.html
0 Response to "RAIS WA ZANZIBAR DK,ALI MOHAMMED SHEIN AFANYA ZIARA YA KUWAFARIJI WAATHIRIKA WA UPEPO WILAYA YA MAGHARIBI B UNGUJA"
Post a Comment