title : RAIS DKT. MAGUFULI ATEMBELEA SHIRIKA LA UTANGAZAJI LA TAIFA - TBC
kiungo : RAIS DKT. MAGUFULI ATEMBELEA SHIRIKA LA UTANGAZAJI LA TAIFA - TBC
RAIS DKT. MAGUFULI ATEMBELEA SHIRIKA LA UTANGAZAJI LA TAIFA - TBC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akioneshwa sehemu mbalimbali za studio za Redio na Televisheni za Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) alipotembelea leo kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika moja ya studio za Televisheni za Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) na mtangazaji Bi. Asha Haji alipotembelea leo kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na watumishi Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) alipotembelea leo kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na watumishi wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) alipotembelea leo kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi.
Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI ATEMBELEA SHIRIKA LA UTANGAZAJI LA TAIFA - TBC
yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI ATEMBELEA SHIRIKA LA UTANGAZAJI LA TAIFA - TBC Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI ATEMBELEA SHIRIKA LA UTANGAZAJI LA TAIFA - TBC mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/rais-dkt-magufuli-atembelea-shirika-la.html
0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI ATEMBELEA SHIRIKA LA UTANGAZAJI LA TAIFA - TBC"
Post a Comment