title : NAIBU SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA UGENI KUTOKA JHPIEGO
kiungo : NAIBU SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA UGENI KUTOKA JHPIEGO
NAIBU SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA UGENI KUTOKA JHPIEGO
Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (kulia) akizungumza jambo pale alipotembelewa na ugeni kutoka Shirika la kimataifa lisilo la kiserikali linalotekeleza Miradi Mbali mbali ya Afya hapa nchini lijulikanalo kama Jhpiego, wakiongozwa na Rais na Mtendaji Mkuu wa Jhpiego wa Dunia Dkt. Leslie Mancuso (kushoto), Makamu wa Rais Mwandamizi, Dkt. Alain Damiba (katikati) katika kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (kulia) akimsikiliza Rais na Mtendaji Mkuu wa Jhpiego wa Dunia Dkt. Leslie Mancuso (kushoto) akizungumza jambo wakati ugeni kutoka Shirika la kimataifa lisilo la kiserikali linalotekeleza Miradi Mbali mbali ya Afya hapa nchini lijulikanalo kama Jhpiego, lilipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. katikati ni Makamu wa Rais Mwandamizi, Dkt. Alain Damiba
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (kulia) akimsikiliza Rais na Mtendaji Mkuu wa Jhpiego wa Dunia Dkt. Leslie Mancuso (wa tatu kulia) akizungumza jambo pale ugeni kutoka Shirika la kimataifa lisilo la kiserikali linalotekeleza Miradi Mbali mbali ya Afya hapa nchini lijulikanalo kama Jhpiego, ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Hivyo makala NAIBU SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA UGENI KUTOKA JHPIEGO
yaani makala yote NAIBU SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA UGENI KUTOKA JHPIEGO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA UGENI KUTOKA JHPIEGO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/naibu-spika-wa-bunge-atembelewa-na.html
0 Response to "NAIBU SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA UGENI KUTOKA JHPIEGO"
Post a Comment